DO
Kenya Joined January 2024
Dennis Onyango
@dennisonyango
0 memorials created1 tributes written5 remembering
Tributes
Remembering Peter Otieno Ouma · 2y ago
Mshabiki mwenzake wa Gor Mahia
Tulisimama pamoja Kasarani kwa miaka ishirini na mitano. Gor ilipofungwa, hakulalamika, alinunua soda kwa kila mtu aliyekaribu. Iliposhinda, aliimba hadi akapoteza sauti na kutupa pesa kwa kila mtoto. Roho yake ibaki nasi uwanjani.