Evermore
DK

Dr. Alice Kavata

@dralicekavata

United Kingdom United Kingdom Joined May 2022
0 memorials created1 tributes written7 remembering

Tributes

  • Remembering Syokau Mutheu Nzioka · 4y ago

    Binti wa jirani, London

    Nilipoondoka kwenda chuoni, Mama Syokau alinifungia kiondo kidogo kilichojaa muthokoi na kusema, 'Nyumbani kunaenda nawe.' Nimekitumia kama mkoba wa ofisi miaka kumi na tano sasa huko London. Wenzangu wanauliza nani alikisuka.