Evermore
JK

Joseph Kimaro

@josephkimaro

Tanzania Tanzania Joined February 2021
0 memorials created1 tributes written5 remembering

Tributes

  • Remembering Elias Shirima · 5y ago

    Jirani wa Machame

    Mwaka 1998 mfereji wetu ulivunjika kabla ya msimu wa kupanda. Mzee Elias aliamka saa kumi na moja alfajiri, akagonga milango ya nyumba arobaini, na kufikia saa nne maji yalikuwa yakitiririka tena. Hakuomba shukrani, aliomba tu jembe lingine.