MA
Kenya Joined February 2024
Mary Awuor
@maryawuor
0 memorials created1 tributes written3 remembering
Tributes
Remembering Peter Otieno Ouma · 2y ago
Jirani wa Umoja
Rose alipokuwa mgonjwa miaka kumi iliyopita, Boss Pita alikuwa akimleta chai hospitalini asubuhi, kisha kwenda kazini. Hakuniambia hata mara moja, nilisikia kutoka kwa wengine. Mtu mwema kweli, jirani wa kweli.