Evermore
RM

Rose Mushi

@rosemushi

Tanzania Tanzania Joined March 2021
0 memorials created1 tributes written1 remembering

Tributes

  • Remembering Elias Shirima · 5y ago

    Mpwa wake

    Shangazi Anna na Mzee Elias walitulea tulipofiwa na wazazi. Kila Jumapili alinitenga kando na kuuliza, 'Umekula? Umesoma? Umeomba?' Maswali matatu tu. Nimewaambia watoto wangu maswali hayo hayo, na nitaendelea kuuliza.