SK
Kenya Joined February 2024
Samuel Kamau
@samuelkamau
0 memorials created1 tributes written2 remembering
Tributes
Remembering Peter Otieno Ouma · 2y ago
Dereva wa Umoja Express kwa miaka ishirini
Boss Pita aliniajiri nikiwa na leseni ya wiki mbili tu na kuniambia, 'Endesha kana kwamba mama yako yuko kwenye kiti cha nyuma.' Nimeendesha miaka ishirini bila ajali hata moja, na kila asubuhi bado namwona kwenye kioo cha nyuma.