Evermore
TL

Tobias Lyimo

@tobiaslyimo

Germany Germany Joined April 2021
0 memorials created1 tributes written3 remembering

Tributes

  • Remembering Elias Shirima · 5y ago

    Mkulima wa zamani wa Machame, sasa Ujerumani

    Nilihamia Ujerumani mwaka 1995 na bado ninapokea kahawa ya Mzee Elias kila Krismasi, kwa posta, ikiwa na barua fupi: 'Nyumbani hakujabadilika.' Mwaka huu barua haikuja, na nyumba yangu ya Hamburg ina ukimya mzito.