CM
Kenya Joined May 2022
Charles Maundu
@charlesmaundu
0 memorials created1 tributes written5 remembering
Tributes
Remembering Syokau Mutheu Nzioka · 4y ago
Mwalimu mkuu mstaafu, Kangundo
Alilipa ada ya shule ya watoto kumi na wawili wa kijiji chetu, na kamwe hakuniambia. Nilijua nilipokagua daftari za ada. Aliniomba nisiseme chochote. Sasa nasema, kwa sababu watoto hao ni madaktari, walimu na wahandisi.