Evermore
GM

Grace Mallya

@gracemallya

Tanzania Tanzania Joined February 2021
0 memorials created1 tributes written3 remembering

Tributes

  • Remembering Elias Shirima · 5y ago

    Mwanafunzi wake wa zamani

    Mwalimu Elias alitufundisha Darasa la Nne mwaka 1964. Alikuwa mkali lakini mwenye haki, na kila mtoto aliyeshindwa kulipa karo aliendelea kusoma bila mtu kujua. Leo ni mimi niliyeko mbele ya darasa, na namsikia kila ninapoandika ubaoni.