Evermore
HM

Hamisi Juma Mwachia

@hamisijumamwachia

Kenya Kenya Joined October 2026
0 memorials created1 tributes written1 remembering

Tributes

  • Remembering Wilson Mghanga Mwadime · 5d ago

    Mfanyakazi mwenzake wa KPA

    Tulifanya kazi pamoja kwa miaka ishirini bandarini. Hakuwahi kukosea ripoti hata siku moja, na alitufundisha kuwa kalamu ya mtu ni heshima yake. Mombasa imepoteza mtu wa utaratibu mkubwa na rafiki wa kweli.