JM
Kenya Joined May 2022
Joseph Musyoka
@josephmusyoka
0 memorials created1 tributes written4 remembering
Tributes
Remembering Syokau Mutheu Nzioka · 4y ago
Mjukuu, Nairobi
Nyanya alikuwa ananiletea maembe kila mwezi kwa basi la Machakos, akiyafunga kwa kitambaa na kuandika jina langu kwa kalamu ya wino. Hakuwahi kujua kusoma sana, lakini jina langu aliliandika kamili. Natamani nimshukuru tena.