MM
Kenya Joined November 2026
Mzee Joseph Mghanga
@mzeejosephmghanga
0 memorials created1 tributes written0 remembering
Tributes
Remembering Wilson Mghanga Mwadime · 1d ago
Mwenyekiti, Chama cha Wataita Mombasa
Mzee Wilson alituongoza kwa utulivu kwa miaka kumi na tano. Alikuwa na hesabu sahihi na moyo mkunjufu, na hakuna mwanachama aliyewahi kuzikwa bila msaada wake.