Evermore
ZB

Zainab Salim Bakari

@zainabsalimbakari

United Arab Emirates United Arab Emirates Joined May 2022
0 memorials created1 tributes written0 remembering

Tributes

  • Remembering Abdalla Salim Mazrui · 4y ago

    Mwanafunzi wake wa zamani, Abu Dhabi

    Nilisoma kwake nikiwa na miaka saba. Alinifundisha herufi za Qur'an kwa kunipa halua baada ya kila aya. Ladha ya halua hiyo na sauti yake bado ziko moyoni mwangu hadi leo.