Eliud Mghanga Mwadime
Asanteni sana kwa michango yenu. Tumefikia asilimia 90 ya lengo letu. Mungu awabariki.
Mochwari, usafiri hadi Mwatate na mazishi ya familia.
Kila siku nyumbani Changamwe, saa kumi na moja jioni
Contact: Eliud Mghanga Mwadime
Sign in and join the committee to share an update.
Asanteni sana kwa michango yenu. Tumefikia asilimia 90 ya lengo letu. Mungu awabariki.
Basi la waombolezaji litaondoka Mombasa saa kumi na mbili asubuhi siku ya mazishi. Jiandikisheni kwa katibu.
Chairperson
Secretary
Treasurer
Member
Member
Member
Member
Member
Member
Member
Member
Member
Member