Evermore
WMIn memory of Wilson Mghanga Mwadime
Workmates

Wastaafu wa Kenya Ports Authority

Wafanyakazi wenzake wa zamani wakichangia na kuandaa heshima ya mwisho.

Ukumbi wa wastaafu wa bandari, Jumanne na Alhamisi saa tisa alasiri

Contact: Hamisi Juma Mwachia

19 membersSign in to join

Announcements

Sign in and join the committee to share an update.

Hamisi Juma Mwachia

Asanteni sana kwa michango yenu. Tumefikia asilimia 81 ya lengo letu. Mungu awabariki.

Mwanaisha Salim Kombo

Tafadhali tumeni picha za Wilson kwa katibu kabla ya Alhamisi kwa ajili ya programu.

Members